FUP TAMU episode 2
FUPI TAMU
**kenzo**
Sehemu: 02
Mtunzi:Isaya wa story
No 0629755212
ILIPOISHIA
Kijana kenzo akiwa safarini kuelekea masomoni kutoka kwa kaka yake Arusha na kuelekea Jijini Mbeya
Pombe uleta urafiki lakini usidhidishe ikawa kero kwa wengine.
Ndo kijana kenzo imefanya afamiane na watu ndani ya gari...
Je kijana kenzo kwanini kaongopa mbele ya mama na mwanae???
ENDELEAAAAAAA
***&&&***&&**&&&**&&
""""yani dukani ndiyo nikawe mlinzi mamamaa??
Ndiyo au uwezi basi?
""""Naweza kazi ndogo usijali kwanza nipe ifadhi tukifika kwako tutajuwa zaidi??
Safari paka mbeya kijana kenzo hoi nasafari ndefu iliyo wafanya kufika saa 9 usiku Jijini Mbeya..
Mama huyo alikuwa njema kwani hilikuja Prado Kali new model
Kufika alishuka pande la mtu yani mbaba wa maaana kwa taswala ni mtu mwenye pesa zake ambazo pesa zimemkubali kweli?
Mama yule alimshika kenzo mkono nakusema asaidiwe kwani kenzo alikuwa amelewa mno
Yule mzee akutaka kuuliza kitu juu yangu
Tukapanda nakuondoka zetu paka nyumbani kwa huyo mama.
Kufika nikapewa chumba na kulala
Asubuhi nilisikia sauti ikisema kenzo man kenzo man amka amka
Nilitaman kuamka lakini bado nilikuwa na usingizi pia uchovu sana
Nilijibu tu
""""Samahan najuwa nipo ugenini hila jamani nimechoka naombeni ni pumzike Mimi
Walichrka nakuacha nilale kidogo
Nilijihisi nipo nyumbani nikalala paka mida ya saa nne ndo nikaamka sasa
Kucheki nilipo lala nichumba kilicho pendeza rangi ya kuvutia na hewa nzuri kama niliko toka
Kuangalia vizuri sioni simu yangu hapo niliingia mashaka kweli kweli yani simu kwangu hilikuwa kama sehrmu ya kiungo cha mwili wangu
Nilihinuka haraka nakutoka njee nikiwa nimevaa boxer bila kujali ugenini!!
Kutoka tu njee nakutana na mdada mzuri hila mfupi kweli kumuona alistuka nakupiga kelele mama mama mama
Niliogopa nakujiuliza huyu vipi mbona anaita mama??
Pindi nikiwaza watu walikuja mbio mbio palikuwa mama yule na kijana wakiume nawao kuniona hivyo walitahamaki
Heeeeeeboooo jamani wewe kenzo man!!!!!?
Vipi??
"""""Jamani naombeni simu yangu naombeni hiyo Nikila kitu kwangu??
Ndo utoke hivyo jamani bila nguo kama unaenda kuogerea??
Samahani nipeni kwanza simu ndo akili yangu itatulia jamani??
Mama yule akaita Alice Alice leta hiyo simu ya kenzo man?
Sikujuwa Alice niyupi nilipenda kumuona kwani jina lake linaashiria ni mrembo tu
Kuja huyo Alice
Kumbe niyule binti tulie kaa nae siti moja kwenye basi
Alisalimu mambo kenzo mbona umetoka hivyo??
Nilipo hona simu yangu ndipo akili ikalejea kuwa nipo ovyo kimavazi
Nilijichekesha huku namwambia amna amna wewe nipe simu tu
Akanipatia
Sikutaka kuangalia nini kinaendelea au nani ananisemesha nduki paka chumbani nikaoga na kuwasha simu kwani hilikuwa imezimwa.
Pindi nawasha kaka naye anapiga.
Bila salamu anauliza wewe mjinga umelala wapi eti umelala wapi??
""""Kaka kweli Mimi mjinga kwako hila juwa nipo sehemu salama na hivi najianda kuelekea chuo
Umefunga simu mtu unaenda pokelewa unakuwa umelewa ndo nini unafanya unanitia aibu mdogo wangu kwanini utaki kuacha pombe??
"""Usijali kaka kuwa na amani nipo poa ngoja nijiandae takujuza mida.
Sikutaka kubishana nae nikakata simu
Nikaajianda kisha nikachukuwa mabegi yangu nakuelekea sebleni..
Kufika niliwasalimu upya jamaa hao walio fanya wema kwangu na kuomba niende zangu
Wakasema uende wapi wakati hapa ndo umefika au utaki kazi
""""Hapana siwezi kusema ndiyo au hapana nahitaji kwanza nifikirie hili swala?
Wakacheka nakusema mzee anataka kuongea na wewe kidogo pengine anaweza kukupa kazi nyingine???.
""""Hapana acheni niende tu jamani asanteni nielekezeni nipo wapi hapa kisha nielekezeni mahali panaitwa magorofani??
Wakacheka sawa hila ongea na mzee atakupa lifti paka uendapo kwani umepata rafiki??
""""Nikawaangalia kisha nikajibu ndiyo jamani..
Walikuwa wanacheka tu nikahisi jana nilifanya vituko sanaa labda..
Nikawajibu sawa nionyesheni alipo mzee basi hila juweni Mimi nawafahamu nyie simjui huyo mzee??
----kijana wakiume akatamka sawa we siuende unahitaji kusahidiwa au uhitaji mbona unakuwa na gugu hivyo??
Nilimtazama kwa hasira laiti ningekuwa kwetu walai ningemlushia ngumi au kauli chafu..
Nikaelekezwa paka alipo huyo mzee wanae mtaja kila wakati
Kufika nilimpa heshima yake na yeye alipokea vizuri akatikisa kichwa nakusema maneno haya::::;
***Sasa umekuwa umekuwa kenzo
****kijana umependeza unavutia unakila sifa ya kuwa msomi kwa mwanekano wako hila nashanga huu unywaji wako nani kakufunza??
Nilistuka nakujiuliza huyu mzee kanijuaje mbona anadah nimekuwa pia ninamuonekano wa kisomi...
"""Samahani mzee kwani wewe ninani naumejuaje kama nimekuwa kwani ulisha wahi niona mahali??
***kenzo nilisikia umeanza kunywa pombe nikagoma kata kata sasa nimeamini Jana
*****sikuamini nakuja kukupokea katika hali hile kwanini kijana umekuwa je utaweza kusoma kweli chuo chenye kama hupo hivyo???
Hapo pozi lilinisha nakujuwa kumbe huyu ndo kaka alisema aje anipoke nimetia aibu ndugu zangu...
Nikainamia chini kama mtoto wakike wa kalne zazaman akiwa anatongozwa
Sura ikawa nzito kama nimebebeshwa ndo ya maji..
****usijali bwana kenzo swali juu yako unataka kusoma au unataka kazi nambie nijuwe tusije poteza pesa bule???
""""Siwezi jibu paka unambie wewe ninani na umejuaje kama nimekuja kusoma??
ITAENDELEAAAA
USIKOSE SEHEMU 03
#ISAYA __wa___story.
Maoni
Chapisha Maoni