SIMLIZI TAMU YA MAPENZI
FUPI TAMU
**kenzo**
Sehemu: 01
Mtunzi:Kenny wa story
No +255629755212
Mwanzo
Kenzo kenzo kenzo kenzo amka amka ni muda wa kuondoka huu tumechelewa amka bahna.
Nisauti hiliyo sikika ya mwanamke iki mwambia kenzo amka je kenzo ninani na wamechelewa wapi???
FWATANA NA MIMI KUANZIA SASA ADI MWISHO WA SIMULIZI HII YA KENZO......
****&&&&***&&&***&&&
Nisauti ya mwanamke ilisikika kumwamsha mwenzie amka amka..
"""Mbona tuna amshana mapema kulikoni mamamaa
Jamani kenzo umesahau unatakiwa kuwahi usafiri au umesahau kuwa unasafari siku ya leo?.
""""Ooooh kweli asante kwa kunikumbusha ujuwe Mimi najuwa nipo nyumbani ety kumbe bado tupo nyumba ya wageni??
Ndiyo Jana ulikunywa sana inatakiwa kupunguza unywaji wako kumbuka unaenda kusoma pombe haitakiwi unywe sana??
"""Umeanza wewe nwanamke ujuee sipendi mtu azungumzie maisha yangu??
Samahani kenzo hila ni wajibu wangu Mimi kukushauri wewe??
"""Sawa jiandae nikuludishe kwenu na Mimi niludi nyumbani hila ninaswali juu yako???
Uliza mpenzi wangu??
""""Usiku wa Jana tulitumia condom??
Hapana uligoma nakusema leo utaki kula pipi ikiwa na ganda lake kwani utamu upati??
""""Wewe mwanamke kwanini ulikubali wakati unajuwa nilikuwa nimelewa???
Nilijalibu kukataa hila ulilazimisha na kusema endapo nisipo kupa utamu tusijuane kabisa hivyo hilinibidi nifanye kwakuwa nakupenda kenzo wangu???
""""Sawa hila ulikuwa umelowa kweli au ulikuwa mkavu mamamaa
Kenzo maswali gani hayo bahna naomba tujiandae tuondoke zetu kwani muda wako unazidi kuisha.
"""Sawa twende hila kaka leo ata enda nigombeza kwani sikumuaga kabisa sijui itakuwaje hila twende..
Kenzo na mwenzie walitoka nyumba hiyo ya wageni na kuludi makwao..
Kenzo kufika nyumbani anakutana na Dada wakazi akiwa na maneno mengi kuliko kasuku..
Eeeeeh kenzo umeludi kaka yako kakutafuta
Hivi kaenda polisi yani kasema ataenda adi redioni kutoa taarifa
Kwanini uliondoka bila kuaga kwanini uku pokea simu na baadae ukazima kabisa yani kaka yako anakutafutaa
""""Hivi wewe dada mbona muongeaji hivyo jalibu kuwa mpole unapohitaji kujuwa kitu???
Kwanza napoteza muda wewe endelea na kazi zako mambo yangu hayakuhusu.
Kenzo anaingia ndani anakutana Shemeji yake akiwa anajianda kutoka..
"""Habari Shemeji naona unajianda kutoka sasa??
Hiyo habari umeambiwa Mimi mwandishi wa habari au mtangazaji???
"""Kulikoni Shemeji mbona hivyo??
Unakuja hapa unanikia pombe unanuka sijui huyo mwanamke uliye mlala haogi yani naomba nipishe usinitie shombo??
"""Shemeji mbona Mimi nakueshimu na kama pombe inakukela useme siyo kuanza kunitusi hivyo??
Ndo nisha kutusi basi yani kijana mzuri wakikuona mpole hila umejaa ufulsa
Pombe wewe
Wanawake wewe
Kulala njee wewe
Kutukana watu wewe
Kupigana wewe duuuu
Bora uondoke kwani umekuwa kero kubwa kwangu hila japo nasema hiyo pesa naamini kaka yako kapoteza bule...
""""Shemeji na kueshimu naomba nieshimu ata kama nakaa kwako??
Shemeji huyo alimtazama kenzo na kumsonya kisha akasema
Nikueshimu wewe mtoto wa juzi nipishe nahiyo alufu yako mbaya kama choo cha walevi.
Dada wakazi alivyo kuwa mbeyaa alicheka kweli kwa kushushuliwa kenzo..
Kijana kenzo aliwaona nakuingia chumbani kwake akachukuwa begi zake na kumpigia simu kaka yake..
Kaka naye Kupokea alianza kwa kumgombeza sana na kutoa kauli chafu sana juu ya mdogo wake kenzo..
Kenzo aliomba radhi nakusema kaka kweli Nina makosa hila upande wa chuo sito kuangusha naenda kusoma nahidi kufanya vyema baki salama..
Kenzo alifungasha mizigo yake nakuondoka zake kutoka jijini Arusha
Kuelekea jijini Mbeya kwenda kusoma..
Alikuwa nikijana anaye lelewa na kaka yake na Dada yake
Kwani wazazi wao walifariki mapema nayeye ndo alikuwa wa mwisho hivyo alikuwa hana msahada zaidi ya hao ndugu zake wawili..
Safari ya kenzo hilianza kuanzia saa moja asubuhi..
Safarini kijana kenzo alikuwa kaka jilani na mama mtu mzima akiwa na bintie..
Hivyo walikuwa watatu siti mojaa
Mwanzo walisalimiana tu bila kuendeleza story
Safari kunoga kama ujaavyo umbali wa safari hii siyo ndogo ni ndefu kweli
Kenzo alikuwa akiwasaliana na wenzie hasa wanawake nakuwaaga kuwa taludi tuombeane uzima..
Wakiume hilikuwa ni matusi nakusema yani anahamu kweli na pombe kwani koo limekauka kweli kweli
Safari Kuzidi kunoga paka morogoro hapo kenzo uvumilivu hulimuisha akanunua viroba vya konyagi na maji makubwa..
Pombe si maji basi mzuka ukapanda garini kukageuka vichekesho yani kumbe kenzo alikuwa na vituko kweli..
Wengi walimpenda kwani kweli kalewa hila hatukani na hana usumbufu kabisa
Safari paka iringa safari paka makambako jamani pombe ikazidi noga kwa kenzo.
Ikampa ujasiri bila kujali yule binti yupo na mamae jilani
""""Ujuwe Dada ukweli Mimi naenda mbeya hila sijui hata pakufika kwani ndo Mara ya kwanza Mimi kwenda mbeya unaweza nisaidia??
Hee wewe kaka Mimi takusaidiaje mwambie mama yangu?
"""Usinite kaka niite kenzo man yani ndo jina langu?
Yule Dada na mama wakacheka kweli huku wakisema unavituko??
""""Kweli ndo jina langu jaman??
Mama yule akasema mbeya tunikalibia sasa je wewe unaenda wapi???
"""Mimi naenda kupanga yaah nimekuja kupanga??
Kupanga nini kumbe haupo siliasi?
Mtoto wakike akasema yani umetoka Arusha kuja Mbeya kupanga??
"""Ndiyo kaka kasema nije mbeya maisha rahisi kuliko Arusha??
Haya kalibu ukifika upange nyumba za wageni??
"""Sawa hila natafuta wenyeji je mpo tayari???
Mama na mwanae wakaangaliana nakusema sisi tunashida na mfanyakazi je upo tayari kuwa mfanyakazi?
"""Ndiyo nipo tayari ata kaka alisema nikifika mbeya kupata kazi si Kazi hila niulize kazi gani??
Tunahitaji mlinzi nyumbani kwetu??
"""Mlinzi mama yani nikawe mlinzi wenu kwenye nyumba yenu?
Hapana siyo nyumbani utakuwa mlinzi dukani kwangu hila takupa hifadhi kwangu??
"""Yani dukani ndo nikawe mlinzi mamamaaa??
ITAENDELEAAA
USIKOSE SEHEMU 02
#__Isaya___Samweli
Good simlizi
JibuFutaGod simulizi tupe sehemu 03
FutaGood simlizi
JibuFuta